Advertisements

Tuesday, November 29, 2016

Daktari Feki Afanya Upasuaji Wagonjwa 9 na Kufariki Mmoja, Apewa Ofa ya Kujiendeleza Kielimu

KENYA: Kamati ya maswala ya afya nchini Kenya imependekeza daktari feki aliyekamatwa nchini humo aruhusiwa kujiendeleza na masomo ya udaktari badala ya kutumikia kifungo gerezani.

Kauli hiyo imetolewa baada ya kubainika kuwa daktari huyo feki alifanikiwa kufanya upasuaji kwa wagojwa tisa ambao kati ya yao wanane walipona na mmoja ambae alikuwa mjamzito ndiye aliyepoteza maisha huku akifanikiwa kumuokoa mtoto aliyekuwemo tumboni mwa mjamzito huyo.

2 comments:

Anonymous said...

wenzetu wanamuendeleza sisi tunawafunga ...hii ndiyo tofauti yetu....��

Anonymous said...

Ahukumiwe kwa kosa alilofanya hayo ya kujiendeleza ni baada ya hukumu Vipi Kesho mtu akiiba bank akaenda kujenga hospitali, je, utamfanya nini ? give him more money! !!