DR Bruno Minja Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji wa kahama akitoa tarifaa ya huduma za mfuko wa Afya ya jamii CH F katika halmashauri ya kahama kwa mgeni Rasmi mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu katika viwanja vya hospital
Baadhi ya wahuduma wa Afya kahama wakisikilza hotuba ya mgeni Rasmi mkuu wa wilaya ya kahama
Wajumbe wa bodi wakiwa Dr josepha Ngowi wakati wa makabidhiano ya Vitambulisho kwa watoto wanaishi mazinira magumu kati ni mwenyekit wa bodi Afya Maganga Diksoni
Mganga Mkuu wa Hospital ya Kahama DR Bruno Minja Akisoma Taarifa ya Huduma za Mfuko wa Afya ya jamii CH F na kukabidhi vitambulisho kwa watoto mwenye kuishi mazingira magumu
Baadhi ya Madaktali na Hudumu wa Afya wakisikiliza Mkuu wa wilaya ya kahama
Baadhi ya watoto wakisubiri kubidhiwa Vitambulisho vya huduma ya Afya CHF kwa ajili ya Matibabu
Watoto wakisubiri kukabidhiwa kadi zao za kupata huduma za Afya
Tunasubiri vitambulisho
Moja ya walemavu ambao hawana huwezo wa kupata matibabu wakisubiri kupata vitambulisho vya huduma ya Afya C H F
Mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu Akiongea na watoa Huduma za Mfuko wa Afya wa jamii CH F katika hospitali ya wilaya na kukabidhi vitambulisho kwa baadhi ya familia ambazo hazina uwezo kwa matibabu ya Afya .
Mkuu wa wilaya akikabidhi moja ya familia kitambulisho cha huduma ya Afya
Kijana Ramson jacob mkazxi wa nyahanga akikabidhiwa kitambulisho chake na mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu
Stela Jacob akipokea kitambulisho chake cha huduma ya Afya toka kwa mkuu wa wilaya ya kahama kwa ajili ya Huduma ya Afya
Asante kwa kitambulisho
Asante mkuu wa wilaya kwa Huduma ya kupatia kitambulisho cha huduma ya Afya
Mwenyekiti wa Bodi ya AFya Dickson Maganga akitoa shukrani kwa Mgeni Rasmi kwa kutoa vitambulisho kwa watoto wenye kuishi mazinira magumu
No comments:
Post a Comment