Advertisements

Wednesday, November 30, 2016

KARIBU SWAHILI VILLAGE MEET & MINGLE KILA SIKU YA JUMATANO WABONGO DAY


Kila siku ya J5 ni siku ya wabongo day swahili Village kuanzia 6pm mpaka 9pm Happy hr huku ukipata chakula na vinywaji kwa punguzo maalum kwa ajili yetu fika J5 hii ukutane na wabongo wenzako mbonge kiswahili na huku ukipata burudani ya muziki wa kibongo kutoka kwa madjs wako mahili DMV

No comments: