Advertisements

Monday, November 28, 2016

KUTOKA VOA SWAHILI: Zulia Jekundu Ep 101: American Music Awards (AMAs) 2016

Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki ambacho hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba. Humu utapata kujua juu ya habari za mastaa zinazogonga vichwa vya habari, kujua baadhi ya wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa wiki husika na hata filamu 5 zilizoongoza kwa mauzo katika wiki hiyo
Kipindi cha juma hili kimejikita kwenye tuzo za muziki nchini Marekani (AMA) kwa mwaka 2016
Karibu

No comments: