Advertisements

Monday, November 21, 2016

MAHAFALI YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI (AJTC) YAFANA

 Meya wa jiji la Arusha Kalisti Lazaro akizungumza katika Mahafali ya Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji  Arusha (AJTC) ,Kulia ni Mkurugenzi wa Mafunzo katika Chuo hicho Joseph Mayagila, kushoto ni Diwani wa kata ya Themi, Melans Kinabo. 
Wahitimu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji  Arusha (AJTC) wakirusha kofia juu ishara ya kuonyesha kutunukiwa vyeti vya Shahada na Stashahada. Picha zote na Mahmoud Ahmad, Arusha

No comments: