Advertisements

Monday, November 7, 2016

Maoni ya Zitto Kabwe kuhusu muswada wa sheria ya habari

1 comment:

Anonymous said...

Anavyoongea unaweza kumuunga mkono. Yeye mwenyewe amesema sheria inaandikwa kulingana na wakati.. mwaka 1976 siyo sawa na 2016...itafika mahali kutakuwa hakuna tena na faida ya kwenda shule ya uandishi...walimu wa UPE walikuwepo kwa sababu kulikuwa na uhaba wa walimu.. anachosema kwa kuwa walimu wengi wa UPE walifanikiwa kimaisha basi walimu wa UPE waendelee.. kazi kweli kweli.