Advertisements

Saturday, November 12, 2016

MAREHEMU SAMWEL SITTA APUMZISHWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE, WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA WAOMBOLEZAJI


SPIKA wa bunge la tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee wa Kasi na Viwango, marehemu Samwel Sitta, amezikwa leo Novemba 12, 2016 huko wilayani Urambo mkoani Tabora.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aliwaongoza maelfu ya wananchi na viongozi wa serikali, taasisi za umma na binafsi kwenye mazishi hayo yaliyotawaliwa na majonzi makubwa. Pichani Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa na Mkewe Mary wakweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu Samuel Sitta yaliyofanyika Urambo Novemba 12, 2016. (PICHA NA OFISI YAWAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Kasim Majliwa na mkewe Mary wakitupa udongo kwenye kaburi la Spika Mstaafu, Samuel Sitta katika mazishi yaliyofanyika Urambo, Novemba 12, 2016

No comments: