Advertisements

Friday, November 4, 2016

Msaada unahitajika kwa kijana Mohammed Ambae ni Mtoto wa Bi Moza

Muhammed (Mtoto wa Bi Moza)
Assalam aleikum warahma tullahi wabarakatuh
Wasamaria wema mnanaombwa kumsaidia Mohammed (Mtoto wa Bi Moza) mbae kwa sasa haoni kabisa na anahitaji kufanyiwa operation wa macho yake yanayomfanya sione kutokana na ugonjwa wa kisukari unaomsumbua kila siku.
Kiwango kinachohitajika ni shilingi Milioni 6 ili apate kufanyiwa operation hiyo.
Kwa yeyote aliyeguswa na ombi hili anaweza kuchangia kwa Accout number yake
Bank of Amarica
Moza M Khamis. Account number.
446017104715.
Wasiliana nae kwa namba ya simu 
+1 (240) 722-2670
Voda +255742888778
Ila kwa Sasa yupo Tanzania anauguza mwanawe na anaomba msaada wenu

No comments: