Advertisements

Wednesday, November 30, 2016

Mwanaume mwingine kachora tattoo ya jina la Shilole ubavuni….shishi nomaaaa

Wapenzi wa Shilole wanashindwa kujizuia kuchora jina lake kwenye sehemu tofauti ya mmili yao. Kama unakumbuka staa wa Bongo Fleva #NuhMziwanda alichora tattoo zaidi ya moja kwaajili ya Shilole ila baadae walitengana na Mziwanda kufunga ndoa.
This Time ni huyu kujana ambaye mpaka sasa haijajulikana ni nani ila amejichora tattoo ya jina la Shilole kwenye ubavu wake.
Picha hii ilikuwa kwenye IG ya Shilole na ujumbe uliosema “Maswali stakiiiiii????”
Shilole ana mpenzi mpya na hana aibu ya kumuonyesha, ni mshkaji ambaye tayari ana tattoo kwenye ubavu wake yenye jina la #ShishiBaby ambalo ni jina la kisanii la Shilole.

No comments: