Advertisements

Wednesday, November 16, 2016

ONYESHO LA SANAA ZA UFUNDI LAFANA SWEDEN


Ni onyesho la sanaa za ufundi nchini Sweden lililoandaliwa na msanii kutoka Tanzania Kennedy Mmbando. Lengo la onyesho hilo ni kutangaza uzuri wa mazingira aa Tanzania pamoja na umuhimu wa kumlinda myama Tembo. Onyesho linaendelea mpaka December 14

No comments: