Leo November 10 2016 Rais Magufuli amewatembelea na kuwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika wodi ya Sewahaji iliyopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam wakiwemo Waziri na Balozi Mstaafu wa Tanzania Omar Ramadhan Mapuri na Mkewe Mama Janeth Magufuli.
Rais Magufuli na Waziri na Balozi Mstaafu wa Tanzania Omar Ramadhan Mapuri
Rais Magufuli na Mkewe mama Janeth Magufuli
Rais Magufuli na baadhi ya madaktari na wauguzi kwenye wodi ya Sewa Haji
No comments:
Post a Comment