ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 27, 2016

SHEREHE YA SIKU YA KUZALIWA YA DR. SEMBUA DANIELI GOLDSBORO, NORTH CAROLINA

Birthday boy Dr. Sembua Danieli akifungua dansi na mdhamini wa pendo lake maarufu kama Nashona kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ambayo alifanyiwa mshangao (surprise) na mama mwenye nyumba wake siku ya Jumamosi Novemba 26, 2016 Goldsboro, North Carolina.
Birthday boy Dr. Sembua Danieli akipata picha ya kumbukumbu na mmoja wa wageni aliyekuja toka Massachusetts kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ambayo alifanyiwa mshangao (surprise) na mama mwenye nyumba wake siku ya Jumamosi Novemba 26, 2016 Goldsboro, North Carolina.
Birthday boy Dr. Sembua Danieli akipata picha ya kumbukumbu na wageni waliokuja   kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ambayo alifanyiwa mshangao (surprise) na mama mwenye nyumba wake (watatu toka kushoto)siku ya Jumamosi Novemba 26, 2016 Goldsboro, North Carolina.
Birthday boy Dr. Sembua Danieli akicheza rumba siku ya jumamosi Nov 26, 2016 kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ambayo alifanyiwa mshangao (surprise) na mama mwenye nyumba wake iliyofanyika Goldsboro, North Carolina.Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: