ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 8, 2016

KISOMO CHA MAREHEMU ALHAJI PROFESSOR IDRIS ALI MTULIA

ALHAJI PROFESSOR IDRIS ALI MTULIA ENZI YA UHAI WAKE

Kwa niaba ya familia ya Marehemu baba yetu mpenzi, Alhaji Professor Idris Ali Mtulia aliyefariki dunia ghafla siku ya Jumatatu Desemba 5, 2015 Nyumbani Kwake Upanga, Dar-es-salaam Na kuzikwa siku ya Jumanne Desemba 06, katika makaburi ya Kisutu, Dar-es-salaam. Tunapenda kuwatangazia kisomo cha kumwombea baba yetu kitakachofanyika siku ya Ijumaa Desemba 9, 2016.
Nyote mnakaribishwa.

Anuani. Argyle Local park
1030 Forest Glen Rd
Silver Spring, Md

Muda: 12 jioni - 4 usiku

Kama ilivyo mila Na desturi yetu Wana DMV tunaomba ushirikiano wenu. Kina mama msaada wa vyakula Na kina baba vinywaji, tafadhali wasiliana Na hawa wafuatao Katika maandalizi ya shughuli hii..

Iddi Sandaly (301) 613-5165
Mohamed Matope 301-655-0409
Saidi Mchumo (850) 339 6783
Asha Nyang'anyi (301) 793-2833
Jasmine Rubama (410) 371-9966
Mwasi Marijani (301) 256-8902
Joha Nyang'anyi (240) 813-5563
Dr. Rukia Marijani (850) 980-6633

Kwa kutoa rambi rambi kwa Wafiwa (Yusuf Na Abdullah Mtulia)

Anuani:22637 Settlers Trail Terrace
Ashburn, VA 20148

Jina: Abdullah Mtulia
Bank: Wells Fargo
Acc#:8517110519

Tunatanguliza Shukrani..

1 comment:

Anonymous said...

Pumzika, ewe prefekti mwenzangu hapo Tabora Boys Secondary School Darasa la mwaka 1965.

Rommel Mauma aka Born Again Pagan