Watoto wa Marehemu Alhaji Professor Idris Ali Mtulia Wakiwa Abi
na Yusufu Mtulia wakiwa na Muheshimiwa
Balozi Mstaafu Mzee Mustafa Nyanganyi pamoja na Mke wa balozi Nyanganyi kwenye Shughuli ya Kisomo iliyofanyika
DMV.
Familia ya Alhaji Professor Idris Ali Mtulia Inapenda
kuwashukuru watanzania na wengine wote kwa kuwa nao kwenye kuomboleza toka msiba
ulipotokea, mazishi, visomo, michangio na mpaka hii leo. Familia inamuomba mungu
awazidishie ninyi na vizazi vyenu mambo yote ya kheri.

Baadhi ya Walioudhuria kisomo wakiwa kwenye kisomo

























































No comments:
Post a Comment