Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki kinachotayarishwa na kutangazwa na Mkamiti Kibayasi toka Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya America (VOA)
Kipindi hiki hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba. Humu utapata kujua juu ya habari za mastaa zinazogonga vichwa vya habari, kujua baadhi ya wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa wiki husika na hata filamu 5 zilizoongoza kwa mauzo katika wiki hiyo
Juma hili, sikiliza kuhusu The Weeknd alivyofunguka kuhusu sababu za matumizi ya Coccaine. Pia utasikia kuhusu alilosema Justine Bieber kuhusu yeye kuendelea kuwa "bachela" na mengine mengi.
KARIBU

No comments:
Post a Comment