Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya asili ya kabila la Wairaq baada kuwasili kwenye ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 6, 2016. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na wapili kulia kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya asili ya Wairaq baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 6, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wasichana wakicheza ngoma ya asili ya kabila la Wairaq wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye Ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha, Desemba 6, 2016.
No comments:
Post a Comment