Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan Suluhu akikata utepe kama ishara ya kuzindua Makati wa Taifa Dhidi ya Rushwa na Mpango wa Utekelezaji Awamu ya Tatu, kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki akishuhudia zoezi hilo pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan Suluhu akihutubia watumishi na wananchi wakati wa kilele cha Maadhimisho ya siku ya maadaili na haki za binadamu zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam
Makatibu Wakuu wa Wizara mbali mbali pamoja na viongozi wa Dini wakifuatilia kwa makini hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia kwenye Kilele Cha Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu.
No comments:
Post a Comment