Monday, December 26, 2016

MR &MRS MAKALLA WAFANYA PARTY YA NGUVU SIKU XMAS EVE (DEC,24) ILIYOFANYIKA NYUMBANI KWAO WINDER ATL, GEORGIA NA KUHUDHURIWA NA MARAFIKI MBALIMBALI.

Mr and Mrs Makalla kwenye picha ya pamoja na baadhi ya marafiki.
Mr Makalla a.k.a Kapuya akiweka mambo sawa 
Maongezi na vinjwaji vikiendelea
Mr Makalla na some friends Charles, Gregory, na Evans
Kaka Evans akifanya mambo yake
Mr Makalla na wageni zake wakipata kinywaji
Baba mchungaji kutoka Moshi (mwenye njano) alikuwepo kubariki shughuli hii
Wakaka wa Atlanta
Maandalizi yakiendelea nje
Matayarisho ya mbuzi choma tayari kuliwa
Vinywaji vya kila aina vilikuwepo
Kaka Peter akifurahia jambo

Muda wa kupata menuzzzz
Liganga akitupia jicho msosi huku akitabasamu
Msosi umetulia (Yummy)
Agnes makalla a.k.a mama Rachel na Liganga

May and her babe
Maongezi yakiendelea



Jamilaaaaa (in Bro Peter voice) na Tee


May na Salama 
Rachel hakuwa nyuma kupata menu yake
Raha tupu
Charles akimpa muongozo mtoto wa Evans katika kucheza na mpira
Baba mwenye nyumba nae alifanya yake
Furaha ilitawala kila upande
Agnes katika matayarisho ya soup ya mbuzi


































































No comments: