ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 29, 2016

SERENA WILLIAMS AVISHWA PETE YA UCHUMBA

Image result for serena williams boyfriend alexis ohanian
Mcheza tenis Serena Williams ameshangaza mashabiki wake kwa kuweka siri ya mpenzi wake Alexis Ohanian na kuianika jana Desemba 28, 2016 kwamba amechumbiwa na mpenzi wake huyo.

Serena Williams miaka 35 na mchumba wake Alexis Ohanian miaka 33 walikutana kwa mara ya kwanza kwenye chakula cha mchana mwa 2015 kabla ya Oktoba na habari ya kuchumbiwa kwake Serena aliitangaza siku ya Jumatano Desemba 29, 2016.

Serena Williams na Alexis Ohanian iliripotiwa wanatoka kimapenzi kwa mara ya kwanza Oktoba 24. 2016. Waili hawa walikua na penzi la kujificha kwa muda mrefu mpaka ikadhaniwa wawili hawa hawako pamoja na kunawakati Serena Williams alidhaniwa anatoka kimapenzi na mwanamuziki Brake.


No comments: