ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 29, 2016

TAARIFA RASMI YA MSIBA

TAARIFA RASMI YA MSIBA

Innaa lillah wa innaa ilayhi rajiun.

Kwa niaba ya familia ya Marehem Jaha Ubwa na Marehem Bi Pili Khamis Uleid na wanafamilia wote kwa ujumla, nasikitika kuwataarifu rasmi habari ya msiba wa Baba yetu kipenzi, ndugu, jamaa, na rafiki wa wengi wenu - UBWA JAHA UBWA (Ubwa Ubwa) aliefariki dunia mchana wa leo hii nyumbani kwake huko Kirkland, WA - USA.

Allaahum-maghfir lahu warhamhu, wa 'aafihi, wa'fu 'anhu, wa 'akrim nuzulahu, wa wassi' mudkhalahu, waghsilhu bilmaa'i waththalji walbaradi, wa naqqihi minal-khataayaa kamaa naqqaytath-thawbal-'abyadha minad-danasi, wa 'abdilhu daaran khayran min daarihi, wa 'ahlan khayran min 'ahlihi, wa zawjan khayran min zawjihi, wa 'adkhilhul-jannata, wa. 'a'ithhu min 'athaabil-qabri wa 'athaabin-naar.

Dua zenu kwa wingi kwake itakuwa ni faraja kubwa sana kwetu sisi wanafamilia yake, kwa ndugu, jamaa, na marafiki zake wote.

Taarifa zaidi za maziko nitawajulisha rasmi hapo mipango ya mazishi itakapokamilika.
Kwa maelezo zaidi unaweza kupiga namba hii 

Haji Jingo:+1818-493-0815

Wabillah Tawfiq wa Tahfif

Haji Jingo

No comments: