Balozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Mhe Tuvako Manongi mgeni mhalikwa akikata kaki yenye nembo ya bendera ya Tanzania kwenye sherehe hizo zilizokuwa zimeandaliwa na New York Tanzania Community. Sherehe za kumbukumbu ya uhuru wa Tanzania miaka 55 iliyopita.
Balozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Mhe Tuvako Manongi akiongea mbele ya Watanzania siku ya Uhuru day New York.
Watanzania wakipata chakula ndani ya ukumbi, sambamba na familia zao hii yote ni kusherehekea siku ya Uhuru wa Tanzania. Kwa Picha zaidi nenda soma zaidi.
Mwenyekiti wa NYTC Sylevester Mwingira akimkaribisha mgeni mhalikwa.
Makamu mwenyekiti Gaston M. akijanjarusha kila kitu kinachotakiwa kuendelea ukumbuni hapo.
Mshereheshaji wa shughuri ukumbuni hapo Mkuu wa wilaya ya Springfield bwana Isaac Kibodya.
Balozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Mhe Tuvako Manongi kipata ukodak wa pamoja viongozi kwa NYCT
Ukodak wa pamoja C.E.O wa All Afrika Travel and Logistic Pio Waricoy, na C.E.O wa Amefricargo Express llc P, Liganga.
Viongozi wa DICOTA Lunda na Jessica Che-Mponda, na C.E.O wa AllAfrica Pio Waricoy
Balozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Mhe Tuvako Manongi akifungua music.
1 comment:
hongereni wana new York na vitongoji vyake kwa sherehe ya uhuru mmpendeza wenyewe.
Post a Comment