ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 12, 2017

DAKTARI AMPIGA KICHWA MUUNGUZI WAKE ,NES NAYE AMPIGA MGONJWA MAKOFI YA KICHANGA WAKATI AKIPIKA CHAPATI KWA MAMA LISHE KARIBU NA ZAHATI

Hiki ndiyo kituo cha Afya cha Buluma Ambacho muunguzi alifanya kosa hilo muunguzi Joyce makewa alipiga mgonjwa 
Kituo cha Afya Buluma Ambapo Muunguzi Joyce makewa alipokuwa akifanya kazi 
Hii Ndoyo Nyumba Ambayo Muunguzi Joyce makew Alikuwa anaishi kama Muunguzi Daraja la pili 
Mganga Mfawidhi wa zahati ya Buluma Joseph Masaka Akiongea na waandishi wa habari juu ya tuhuma ya Muunguzi kupiga mgonjwa ambaye alikwenda kutibiwa katika kituo hicho 
Muunguzi wa kituo cha Afya Bulima akitoa huduma kwa moja ya wazee walifika kituoni hapo 
Moja ya Mgonjwa alifika kituo hapo kwa ajili ya kujifungua na ameweza kujifungua akiwa salama mtoto wa kike katika kituo cha Afya Buluma 
Ilikuwa Bahati kwa waandishi wa habari kujionea mtoto mchanga muda Tu baada ya mama yake akiwa amjifungua mtoto wa kike 


KAHAMA

Halmashauri ya msalala wilayani kahama mkoani shinyanga kupitia idara yake ya Afya imewasimamisha kazi watumishi wawili wa idara hiyo ,akiwimo daktari wa kituo cha Afya cha luguya na mwingine wa kituo cha afya Buluma.

Akiongea mbele ya waandishi wa habari mkurungezi wa Halmashauri ya msalala Simon Berege alisema kuwa watumishi hao wawili kuwa tarehe 9 mwezi huu walipata malalamiko toka kikao cha halmashauri ya kijiji kilichokaa kuwa muuguzi msaidizi daraja la pili katika zahati ya Buluma Joyce Godbles Makewa kwa kosa la kumpiga mgonjwa ambaye alikuja kupata matibab,akiwa na mwane mgonjwa.

Aidha Berege alisema kuwa Daktari msaidizi wa kituo cha Afya cha Luguya Dominick Mipawa amebainika kuwa kufanya vitendo ambavyo ni kinyume na maadili ya utumishi wa Umma baada ya kupiga muuguzi wake kichwa mbele ya wagonjwa kinyume na maadili ya udaktali.

No comments: