Good News zilizotufikia ni hii ya mwanamuziki toka nchini Tanzania Dayna Nyange hit maker wa nyimbo za Angejua na Komela, Amechaguliwa kushiriki katika tuzo hizi za nchini Nigeria. Taarifa iliyoufikia uongozi wa Dayna na Dayna Nyange ni kwamba mwanamuziki huyo amechaguliwa kushiriki katika tuzo za BAE kipengele cha Best African ACT Vocal Perfomance Femail na Best African Act
“Best Vocal Performance Female”
ARAMIDE- “Fun Mi Lowo”
NGOWARI- “Ebasitam”
ROCKNANA- “Sweetie Potato”
DAYNA NYANGE- “Angelua”
Na kipengele kingine ni Best African Act akiwa na
Best African Act”
EDDY KENZO. “Uganda”
RABBIT KIKI KAKA. “Kenya”
STONEBWOY. “Ghana”
DAYNA NYANGE. “Tanzania”
JAH VINCI. “Jamaica”
Tuzo hizo zinazotarajiwa kutolewa hivi karibuni nchini humo.kumpigia kura Dayna Nyange tembelea tovuti ya
www.baeawards.com Tunatoa pongezi kwa Dayna na Timu yake kwa kuchaguliwa kushiriki katika tuzo hizi na tunamtakia kila la kheri
No comments:
Post a Comment