| Evans na mkewe Tedy wakiwa na nyuso furaha na wageni |
| Charles Semali katika maandalizi ya mishkaki |
| Bro Peter akifafanua jambo |
| Mwili haujengwi kwa mawe |
| Kapuya, Evans, na Peter |
| Marafiki walivojumuika na familia ya Evans kusubiri mwaka |
| Dj Moses na kaka Oswald katika maandalizi |
| Mr Kulaya akiombea chakula na shughuli kwa ujumla iende salama |
| Mama zetu wapendwa |
| Mr Gregory na Mr Kibwana |
| Mvinyoz |
| muda wa msosi |
| Mr Wiston, Mr Kulaya, Mr Ibi, na Brother Peter |
| Menuz haikuwa ya mchezo mchezo |
| Evans na rafiki ake kipenzi tangu wakiwa na miaka 14 |
| Le couplezz |
| Rose Mshumbusi na familia |
| Mrs Kulaya katika ubora wake |
| Watoto wakati wote ni baraka |
| Mc na Dj wakifanya yao |
| Mr Gregory na Mkewe Digna wakisakata rumba |
| Agnes Makalla na mama mwenye nyumba Tedy |
| Inde mama inde |
| Mr and Mrs Liganga wakiduarika |
| Agnes na Jamila kwa raha zao |
| Tedy akitoa ahsante kwa marafiki waliohudhuria shughuli ya kuaga 2016 na kukaribisha 2017 (New Year Eve party) |
| Woow mama na mwana |
| Mduara |
| The swagaz (red converse) za Dj Moses na mkewe Lolo na mtoto wao zilifunika |
No comments:
Post a Comment