LETICIA NYERERE ENZI YA UHAI WAKE
WAPENDWA WANA DMV NA MARAFIKI ZETU TUJUMUIKE NA NDUGU ZETU:
JULIUS,JULIA NA HELENA NYERERE KATIKA MISA YA KUMBUKUMBU YA MAMA YAO MPENZI LETICIA NYERERE ITAKAYOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI
JANUARY 21, 2017.
MAHALI:
901 poplar Grove Street, Baltimore MD 21216
MUDA: Saba na nusu mchana
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Julia Nyerere 240-495-9620
Helena Nyerere 240-821-0830
Mage Mageni 240-462-9138
Florence Mageni 240-413-8290
Fofo Madete 240-569-2777
Joha Nyang'anyi 240-813-5563
Hidaya Mahita 240-271-7799
WOTE MNAKARIBISHWA!
"BWANA ALITOA,NA BWANA AMETWAA,JINA LAKE LIHIDIMIWE"!!!
No comments:
Post a Comment