ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 4, 2017

MUENDELEZO WA PICHA ZA DINNER YA NGUVU SIKU YA NEW YEAR EVE (DEC 31) ILIVYOFUNIKA NYUMBANI KWA EVANS NA TEDY NYUMBANI KWAO SUWANEE, ATL, GEORGIA.

Mambo ya selfie Agnes, Tedy, na Rachel
Jamila na Rachel
Jamila na Tedy
Hassan na Rachel kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Ukishikwa shikamana
Dj Moses na Familia yake (fanya kutupia jicho kwenye unyayo)
Watoto wa Morogoro
Peter akiwa ameshika kichwa cha mbuzi
Baba mwenye nyumba (Evans) na marafiki zake
Shemela Liganga na ndugu zake
Tedy na Evans wakiongoza mduara
Wanakodoa kodoo wanakodoa macho kodo!
Mtu na mtue
Mr and Mrs Mshumbusi

Makaka wa mujini Atlanta


No comments: