Karibu Mgenda Associates Limited, kampuni ya kibiashara yenye makao yake
makuu mjini Iringa, inayojishughulisha na shughuli mbalimbali ikiwemo TEHAMA
(Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT)).
Aidha, tunayo furaha kubwa kutangaza ofa maalumu kwa mwaka huu mpya wa 2017,
ya kutengeneza tovuti (website) bure kabisa kwa mashirika, taasisi, kampuni,
shule, watu binafsi, mahoteli, n.k. Ofa hii maalumu itawahusisha wateja 30
wa kwanza.
Sambamba na hilo, wateja hawa 30 watakaotengenezewa tovuti bure kabisa
watalazimika kuchangia gharama ya kusajiri utambulisho wa kimtandao na
hosting (domain registration and web hosting) ambayo ni Tsh. 80,000/=
(Elfu themanini tu!). Itachukuwa siku 4 tu kwa tovuti yako kuwa online,
punde makubaliano na malipo yatakapo fanyika.
Kimsingi, gharama halisi ya kutengeneza tovuti kupitia kampuni yetu ni
kuanzia Tsh. 500,000/= (Laki 5) kama inavyoweza kuonekana ukibofya hii
Hivyo unayo fursa ya kuchangamkia ofa hii maalumu mapema kadri
itakavyokupendeza.
Unaweza kuangalia baadhi ya tovuti mbalimbali tulizowahi kutengeneza, kwa
kubofya hii link https://www.mal.co.tz/pages/portfolio
Kwa maelezo zaidi kuhusu kampuni yetu, na shughuli mbalimbali
tunazojihusisha nazo, tafadhili bofya hii link https://www.mal.co.tz
Asante na karibu sana.
Kind Regards,
Eng. Mihambo S.P
Software Engineer
Mgenda Associates Ltd
Mobile: +255 765 567 770
No comments:
Post a Comment