Bondia Mfaume Mfaume akitengeneza misuli ya miguu kwa kujifua kwa ajili ya mpambano wake na Mohamed Matumla Feb 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa
Bondia Mfaume Mfaume akinua chuma kizito kwa kutumia miguu kwa ajili ya kutengeneza masozi ya paja wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na Mohamedi Matumla mpambano utakaofanyika Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa
Bondia Mfaume Mfaume akiwa katika GYM ya Nacoz Camp iliyopo Mabibo akifanya mazoezi kwa ajili ya kupambana na Mohamed Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa
Bondia Mfaume Mfaume akiendelea kujifua jana kwa ajili ya kumkabili bondia Mohamed Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa
Bondia Mfaume Mfaume akiendelea kujifua jana kwa ajili ya kumkabili bondia Mohamed Matumla
Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa
Bondia Mfaume Mfaume akifanya mazoezi ya tumbo kwa ajili ya kuimalisha misuli ya tumbo wakati akijiandaa na mpambano wake na Mohamed Matumla utakaofanyika feb 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa
Msimamizi wa Mazoezi ya tumbo Rajabu Lugome akimpiga tumbo bondia Mfaume Mfaume kwa ajili ya kuimalisha misuli ya tumbo wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na Mohamedi Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa
Msimamizi wa Mazoezi ya tumbo Rajabu Lugome akimpiga tumbo na gongo bondia Mfaume Mfaume kwa ajili ya kuimalisha misuli ya tumbo wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na Mohamedi Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Bondia Mfaume Mfaume akiendelea na Mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo
Bondia Mfaume Mfaume akiendelea na Mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo
Bondia Mfaume Mfaume akifanya mazoezi ya kujiandaa kupambana na Mohamed Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa
No comments:
Post a Comment