ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 19, 2017

WIMBO MPYA WA ASILI WENYE VIONJO VYA KISASA KUTOKA KWA SEKO BWAY-NZUGWI.

Pata fursa ya kusikiliza wimbo mpya wa asili ya kisukuma kutoka kwa mwanamuziki Seko Bway. Wimbo unaitwa Nzugwi na umeimbwa kwa vionjo vya muziki wa kisasa. Umetengenezwa na King Fenya kutoka Mbunda Records ya Jijini Mwanza.

No comments: