ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 22, 2017

BRIGEDIA JENERALI MAGANGA ATINGA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI

Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Maganga (kati) akimsikiliza Afisa Suleiman Saleh (kulia) leo Jumatano Feb 22, 2017 Mhe. Mkuu wa mkoa wa Kigoma alipotinga Wiazani hapo kuwasabahi maswahiba wake waliowahi kutumikia pamoja miaka ya nyuma kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Kushoto ni mkuu wa kitengo cha mawasiliano katika Wizara hiyo Bi. Mindi Kasiga.
Kutoka Kushoto ni mkuu wa kitengo cha mawasiliano Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Affrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga, Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Maganga na Afisa Suleman Saleh wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments: