Lolo, Rose, na watoto
Mc ambaye pia ni mwenyekiti akisoma utaratibu
Beautiful totoz
Gaby huyooo
Gaby akipata menu
Da Lily akifunga kwa sala
Gaby's cake was yummy
Da Lila akitia neno
Gaby akipata deko kwa bibi (Aunt Fatma)
cups cake
Mama na mwana looking lovely
maandalizi ya kukata cake
Baba(Moses) na Mama Gaby (Beautiful Lolo)
Gaby akijiandaa kumlisha mama cake tamu.
bibi Aunt Fatma akilishwa cake
Gaby akipokea kiss motomoto kutoka kwa bibi Aunt Mariam
Yeaaay anamlisha mom dearest
Menu sasa mmh...yummy
mbuzi ya kuokwa
Ndizi kutoka uchagani
Kachummbari ya Da Lila si ya sport sport
Lolo akifurahi na wageni zake
zawadi za Gaby
Wageni waliojichanganya
watoto walionyesha mapenzi mubashara kwa mtoto Gaby
Pretty Lolo na Agnes
Zai na Lily (kioo hakidanganyi)
Gaby sambamba na auntie Jamila
Moses na wageni wake
Auntie Rachel nae alikuwepo kwa Gaby's day
Marafiki wa Lolo (mama Gaby)
Mama Gaby na Miss Tee
Salama na mashosti wakifuahia jambo
Mama Gaby na Kaka Mecky
Watoto wakipata msosi
Wooow..mapenzi mubashara mama na watoto
Salomez wa atl wanapokutana sasa..
Najat, digna, Lolo na salomez wengine wakipata menu
wageni kutoka Kenya pia walikuwepo
msosi ukiendelea
Moses akifurahi na ndugu zake


























































No comments:
Post a Comment