HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUMUAPISHA KAMISHNA WA DAWA ZA KULEVYA
2 comments:
Anonymous
said...
Rais JPM ameagiza kuwa waTZ wote waliohukumiwa kunyongwa wasitetewe, balozi ziwaache wanyongwa. Wadau mnalionaje hilo, kwa maoni yangu unaweza kuwa hawana hatia ya kweli labda walikosa legal advisor kutetea kesi zao na wakapatikana na hatia ya madawa. Hata USA watu wenye makosa ya kuhukumiwa kunyongwa wengine wananyongwa kimakosa. Hata TZ kuna watu walihukumiwa kunyongwa miaka nenda rudi mpaka leo hawajanyongwa, kutoa uhai wa mtu mimi sikubaliane nao. Ningeomba serikali iwatete na kuwarudisha nyumbani kuwanyang'anya Passport wasiweze toka nje ya TZ and they have to pay severe penalty to compensate the gov cost.
Suala la misingi kama alivyosema muheshimiwa Raisi yakuwa ikiwa watanzania hao waliopo magereza ya nje imethibitika kukamatwa na kuhukumiwa kwa makosa ya madawa ya kulevya basi waachwe wahukumiwe kutokana na adhabu wanayostahili na hii inaonesha jinsi gani muheshimiwa Maghufuli alivyo muadilifu. Kumbuka muheshimiwa raisi alisha sema hata kama mama watoto wake anahusika basi apelekwe hela. Unapomzungumzia Maghufuli kwa Tanzania huzungumzii mtu wa kawaida katika watu wenye uzalendo uliotukuka kwa Taifa lake. La msingi serikali ya Magufuli na Tanzania ipo kwenye vita zidi ya madawa ya kulevya ningechukuwa nafasi hii kutoa ushauri yakwamba kila mtuhumiwa hasa wale waliokamatwa nje ambao mara nyingi hushikwa na mzigo ready handed ni watu muhimu sana katika masuala ya uchunguzi na ikiwezekana kama serikali ingetuma watu wake waaminifu wa intelligence kwenda kuwahoji huko waliko katika magereza ya nje na kuipatia serikali valuable information zidi ya hii vita kuliko kuwaachwa wanyongwe na kuwaacha pengine wahusika wakuu waliowatuma au wauzia wakipeta mitaani. Ni gharama lakini nnaimani italipa kwani tutakuwa tunapigana vita hii kitaakamu zaidi.

Post a Comment