ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 26, 2017

IBADA YA KISWAHILI FEBRUARI 26, 2017


Kwa niaba ya Tumaini Swahili Chapel - Chicago, ninakukaribisha katika ibada ya Kiswahili itakayofanyika pale Lutheran School of Theology - Chicago, Februari 26, 2017. Saa 9:00 alasiri. 
Shule ya Jumapili kwa watoto itaanza saa 8:00 alasiri (Saa moja kabla ya Ibada). 

 Anuani ni 
1100 East 55th Street, 
Chicago, IL 60615. 

 Tutakutana katika ghorofa ya pili chumba nambari 201. Mhubiri ni Mchungaji Catherine Abihudi. 

Tafadhari usikose kufika, pia mwalike jamaa, rafiki na jirani mpate kubarikiwa. Mara tu bada ya ibada tutajumuika kwa viburudisho. 

"Amri mpya nawapa: Mpendane kama Mimi nilivyo wapenda ninyi, vivyo hivyo nanyi mpendane. Kama mkipendana ninyi kwa nyinyi, kwa njia hii, watu wote watajua kuwa ninyi ni wanafunzi wangu" Yohana 13:34-35.

No comments: