ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 28, 2017

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA ANDENGENYE


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye, ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments: