.jpg)
Gari likiwa limeangukiwa na mti San Jose California baada ya mvua kubwa iliambatana na upepo mkali kuleta madhara makubwa zikiwemo barabara kujaa maji.

Gari aina ya Toyota 4Runner ikiwa imeangukiwa na mti baada ya mvua kubwa na upepo mkali kuikumba California ambayo haijawahi tokea zaidi ya miaka 6.

Toyata Camry ikiwa imenasa kwenye tope lililopolomoka toka mlimani kutokana na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyoikumba jimbo la California.

Barabara moja wapo ikiwa imefurika maji baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kuikumba jiji la California.

Gari likiwa limezimika katikati ya barabara baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kuikumba jiji la California.

Maporomoko ya udongo yakiwa yameangukia barabarani.
No comments:
Post a Comment