Thursday, February 9, 2017

WABONGO NIGHT FREE NO COVER CHARGE IJUMAA


kiota kipya Crystal under new management mama safari is back msosi kama safari, njoo uvunje mifupa kungali meno iko.Fika utikise kichwa, urushe mikono na kujiachia huku ukipata muziki kutoka kwa madj wako wakaree DMV Dj Moe na Dj Dave Ijumaa Feb 10 na kila siku ya Ijumaa CRYSTAL LOUNGE club inayolingana na hadhi yako anuani ni 1401 University Blvd, Hyattsville, MD 20783 KaRiBu

No comments: