Advertisements

Saturday, April 22, 2017

MSIBA DMV NA TANZANIA ANUANI YA MSIBA


Dorothy Anatoli Rwiza enzi ya uhai wake.

Familia ya Michael Nyanda inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Bi.Dorothy Anatoli Rwiza, kilichotokea ghafla mapema leo hii  April 22,  2017, akiwa Tanzania.

Kama ilivyo desturi yetu kupeana pole ndio ustaarabu wetu msiba upo 
 
18414 Hallmark Ct.
Gaithersburg, MD 20879

 Tujumuike pamoja na familia, tuwape pole katika msiba huu wa kuondokewa na mpendwa mama yao.

Kwa mawasiliano zaidi na maelekezo tafadhali wasiliana na 


Kaka Michael Nyanda
Simu 682 206 9062


Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe na kwake tutarejea.

No comments: