Advertisements

Thursday, May 4, 2017

NEW YORK TANZANIA COMMUNITY MUUNGANO DAY

Ewe Mtanzania wa New York, New Jersey, Connecticut, Pennsylvanian, na majimbo ya jirani, ungana nasi Jumamosi hii tarehe 6 Mei, kwenye sherehe za miaka 53 ya muugano wa Tanganyika na Zanzibar.

Burudani kedede zitatamalaki!

Ni kuanzia saa 12:30 za jioni katika ukumbi wenye mandhari tulivu mjini Harlem, New York, anuani 120 East 106 street NY, NY.

Kiingilio ni bei nafuu ukinunua mapema mtandaoni. Tiketi zitauzwa mlangoni pia. Tembelea wavuti huu http://www.nytanzaniancommunity.org/payments.html

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 508-614-0235 uzungumze na Rashid Toure au 614-312-8611 uzungumze na Jackline Kamazima.

No comments: