Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mkewe Mama
Janeth Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ujenzi wa
Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam
hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi mikoa ya
Kigoma na Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiweka jiwe la msingi
Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es
Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi
Kigoma na Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia majina ya baadhi ya
wataalamu mbalimbali waliohusika katika mchakato wa Ujenzi huo
wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es
Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi
Kigoma na Mwanza. Wakwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO)
Masanja Kadogosa akiwa ameshika majina hayo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akichota
mchanga na kuweka kama ishara ya kushiriki katika ujenzi huo wa
Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam
hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na
Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiangalia kibao cha jiwe la msingi cha
Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es
Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi
Kigoma na Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa, Mama Janeth Magufuli
wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO Masanja
Kadogosa wakati akielezea kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa
Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani
Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa amechuchumaa kwenye mfano wa
Reli ya Kisasa (SGR) na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa, Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa RAHCO Masanja Kadogosa, Mwenyekiti wa Kamati
ya Kudumu ya Miundombinu Profesa Norman Sigala mara baada
ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli hiyo, wengine katika
picha ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja na Hawa
Ghasia (Mb).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa wakati akipita katika
katika ya mfano wa Reli hiyo itakayojengwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi
waliohudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa Reli
ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi
mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza.
Mfano wa Reli hiyo ya Kisasa ya Standard
Gauge SGR itakayojengwa kuanzia Dar es Salaam hadi Morogoro
na baadae kuendelea hadi mikoa ya Mwanza na Kigoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kaimu Mtendaji Mkuu
wa RAHCO Masanja Kadogosa wakati akielekea kuweka jiwe la
Msingi ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akihutubia kabla ya kuweka jiwe la Msingi
ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mufti Mkuu wa
Tanzania Shekhe Abubakary Zubeiry mara baada ya kuweka jiwe
la Msingi katika eneo la Pugu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza msanii Mrisho Mpoto
mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi huo wa Reli ya
Kisasa Pugu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
3 comments:
Huvi sasa Tanzania wanasema ukitaka maneno ya umbeya na udaku majungu,fitna,ubinafsi,uchawi,uongo nakadhalika nakadhalika nenda upinzani lakini ukitaka kazi na maendeleo nenda kwa Maghufuli .
Standard gauge railways zitarahisisha usafiri na hasa muda qa kusafiri toka point moja hadi nyingine.
Suala la msingi ni kuwa na transportation networks zitakazosaidia kukuza uchumi wa wananchi kwa kuwarahosishia namna ya kufikisha bidhaa zao sokoni na kwa gharama nafuu na upokeaji wa huduma watakazo hitaji ambazo zitakuwa zimetumia gharama nafuu na hatimae kusababisha bei yao ua uuzaji kuwa juu na bei ya utimiaji wa huduma kuwa chini na hivyo ndivyo wataweza kusave pesa zao na kuboresha aspects nyingine za maisha yao kama vile kuwa na nyumba nzuri na bora, mavazi, chakula kizuri, matibabu ya uhakika n.k
Hatua ya uzinduzi wa ujenzi wa reli ni nzuri ila ni lazima sasa harakati zianze kuhakikisha kunakuwa na networks zabrelibna barabara zinazoingia deep in countryside kuwafikia wakulima, wafugaji na wafanya biashara wengine wadogo wadogo ambao ndio wenye uhitaji wa huduma husika kwa maendeleo yao na maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Mtoa habari umetupigia picha ya reli na mataruma ya miaka 50 na kudai ndivyo reli hii itavyokuwa!! Maajabu reli gani ya kasi ya umeme watu wakatiza kwa miguu katikati yake!! Hakuna asiyeyafahamu mataruma ya reli labda umepiga picha ya Mwakyembe.
Hata akiwepo Mwingine maendeleo yatatafutwa na yaliyoanza yataendelezwa sio lazima huyu huyu.! Tusibeze.
Post a Comment