Naibu Waziri wa Afya Wanawake Jinsia na Watoto , Dk Hamisi Kigangwala akifungua Kongamano la Vijana barani afrika juu ya Maendeleo barani Afrika.
Washiriki wa Kongamano hilo Vijana kutoka nchi Mbalimbali wakifatilia Hotuba ya Dk Kigwangala
Na Humphrey
Shao, Globu ya Jamii
Vijana
barani Afrika wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kueleta Maendeleo hili kufikia malengo hasa
katika kipindi hiki cha mapinduzi ya Teknolijia na Viwanda.
Hayo
yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Afya Wanawake Jinsia na Watoto, Dk .Hamisi
Kigwangalla alipokuwa akifungua kongamano la Vijana barani Afrika lililoandaliwa na
Tasisi ya Uongozi Institute jijini Dar es Salaam.
Akizungumza
kwa Niaba ya Makamu wa Rais Kigwangala amesema kuwa mara zote vijana
wanapokusanyika na kujadili maendeleo ya bara la Afrika ni muhimu sana kwani leo
vijana ndio wadau wakubwa katika swala zima la maendeleo ya bara lao .
“inaeleweka
kabisa ukuaji wa bara la Afrika unategemea vijana ndio maana ajenda ya 2063
inahusisha ubunifu , Nishati , utamaduni na swala zima la siasa safi kama serikali tunawahimiza vijana kujitambua
na kuwawezesha kufikia malengo hili
kuweza kupambana na vikwazo vinavyo wakabili” amesema Kigwangala.
Ameongeza kuwa
vijana wanatakiwa kutambua vikwazo vinavyo wakabili kama fursa ya kujipatia
maendeleo kwa kutatua vikwazo hivyo kwa ajili ya maendeleo ya vijana wa kesho.
Amesema mjadala
wa leo sio tu kwa ajili ya Vijana bali ni kwa ajili ya maendeleo ya bara la
Afrika kwa kuwa na sera zitakazowawezesha vijana.
Rasi wa Vijana Barani Afrika , Francine Muyumba akizungumza na Vijana mbalimbali kutoka nchi mbalimbali ambao walishiriki kongamno hilo la Vijana
washiriki wa Kongamano wakisikilza kwa makini
Mmoja wa Vijana kutoka nchini Nigeria, Arinze Obiezue akitoa neno la shukrani kwa naiba ya washiriki wa kongamano hilo.
Viongozi wa meza kuu wakiongoza na Naibu Waziri wa Afya , Dk Hasmisi Kigwangalla wakisikila maneno ya shukrani kutoka kwa kijana
Picha ya pamoja ya Naibu Waziri na Washiriki wa Kongamano hilo
Click here to Reply, Reply to all, or Forward
114.9 GB (11%) of 1,025 GB used
Manage
Terms - Privacy
Last account activity: 11 hours ago
Details
41 more
Humphrey Shao's profile photo
Humphrey Shao
Add to circles
Show details
Displaying Shindano la Hoja juu ya Sifa za Rais Bora wa Nchi kama Tanzania - Milioni 55 Kushindaniwa.
No comments:
Post a Comment