ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 12, 2017

BALOZI MPYA WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhangaliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhangaliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mgeni wake  Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Moussa Ahmad Farhang baada ya mazungumzo yao alipofika  Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na  Mgeni wake  Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Moussa Ahmad Farhang baada ya mazungumzo yao alipofika  Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
 (Picha na Ikulu)

No comments: