ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 12, 2017

DR. MARYAM VUAI AKAMATA NONDO PhD YA ECONOMICS CHUO KIKUU CHA HOWARD WASHINGTON, DC

Dr. Maryam Vuai akiwa katika picha baada ya kuandika historia mpya katika maisha yake baada ya kukamata nondo ya Uzamivu (PhD) ya uchumi katika chuo kikuu cha Howard kilichopo Washington, DC nchini Marekani.
Dr. Maryam Vuai akiwa katika picha ya pamoja na maprofesa wake siku ya mafahali chuoni hapo.
Dr. Maryam Vuai akipata picha ya kumbukumbu chuoni hapo.
.
Dr. Maryam Vuai katika picha ya pamoja na mmoja wa ndugu waliohudhuria mahafali hiyo.

1 comment:

Anonymous said...

Hongera Dr. Maryam Mungu akujaalie kheri na baraka katika maisha yako.