Advertisements

Thursday, May 25, 2017

GLORIA KASHAA AHITIMU MASOMO YAKE HOOVER HIGH SCHOOL ALABAMA NCHINI MAREKANI

Kushoto ni Gloria Kashaa akipongezwa na dada yake Faith Kashaa siku ya maafali ya Hoover High School ya Alabama nchini Marekani iliyofanyika shuleni hapo. Gloria anatarajia kujiunga na chuo kikuu cha Alabama, Tuscaloosa (Roll Tide) Fall katika somo la computer science. Timu ya Vijimambo inamtakia Gloria kheri ya siku ya kuzaliwa kwani hapo jana May 24 ilikua ni siku muhimu kwenye kumbukumbu ya maisha yake kwani alisherehekea kuhitimu high school na alisherehekea birthday yake.

No comments: