ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 29, 2017

IGP MPYA SIMON SIRRO AAPISHWA IKULU DAR ES SALAAM LEO

  Kamshina wa Polisi nchini Simon Sirro akiandaliwa kwenda kula kiapo  mbele ya  Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  kuwa Kamshina Jenerali wa Polisi nchini  leo Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvua cheo cha Kamishna wa Polisi Simon Sirro na kumvalisha cheo cha Kamishna Generali wa Jeshi la polisi nchini leo Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mkuu wa Jeshi la Polisi Mteule, Kamishna wa Polisi Simon Sirro kuwa Kamishna Generali wa Jeshi la Polisi Nchini Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kufanyia kazi Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro mara baada ya kumuapisha Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam
  Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro akila kiapo cha maadili ya utumishi wa Umma mara baada ya kumuapisha  na Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  kuwa Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, makamu wa Rais Mhe. Samia suluhu Hassan, Waziri wa mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba, Kaimu Jaji Mkuu Profesa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiwa katika picha ya pamoja na Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro pamoja na aliyekuwa IGP Ernest Mangu
 Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, makamu wa Rais Mhe. Samia suluhu Hassan, Waziri wa mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba,  Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiwa katika picha ya pamoja na Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro pamoja na aliyekuwa IGP Ernest Mangu pamoja na Makamishna wa Polisi
  Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, makamu wa Rais Mhe. Samia suluhu Hassan, Waziri wa mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba,  Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiwa katika picha ya pamoja na Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro pamoja na aliyekuwa IGP Ernest Mangu pamoja na Makamishna wa Polisi na maafisa waandamizi
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro pamoja na aliyekuwa IGP Ernest Mangu. Picha na IKULU.

1 comment:

Anonymous said...

Hii ya kumuweka former IGP Mangu kupata photo op is an intentional humiliation. Unamvua mtu madaraka halafu unamlazimisha apige picha mbele ya yule aliyekuwa surbordinate wake? Huu siyo uungwana kabisa, and is too childish to say the least.