ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 29, 2017

EDDAH NA VINCENT WAFANYA SHEREHE KWA WATOTO, LATIFAH AHITUMU COLLEGE NA MUDDY HIGH SCHOOL

Latifah akipata ukodak moment na mama yake siku ya kuhitimu kwake masomo ya High School.
Eddah Gachuma akimpa  warm hugs mwanae Muddy kwa kumaliza College.
 Eddah Gachuma  pembeni yake ni mdhamini wa pendo lake akitoa neno la shukurani kwa wageni waalikwa na familia yake nyumbani kwao Laurel kusherehekea kuhitimu masomo ya watoto wao Latifah na Muddy.
Muddy akitoa neno la shukurani mbele ya wageni waalikwa.

Latifah akitoa neno la shukurani
Picha ni Latifah na Muddy wakiwa na tabasamu mubashara mbele ya ukodak.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


Juu na chini ni Wageni waliojumuika naEddah katika kusherehekea kuhitimu masomo kwa Latifah na Muddy wakimpongeza Muddy siku ya Jumapili May 28, 2017 Laurel, Maryland nchini Marekani.

No comments: