Advertisements

Saturday, May 20, 2017

KELVIN NA SANDRA WAMEREMETA

Bwn. harusi Kelvin Rugano na Sandra Karumberia wanaoishi Alabama nchini Marekani leo Jumamosi May 20, 2017 wamefunga pingu za maisha katika kanisa la Evangelistic Assembly of God Temeke na baadae kusherehekea harusi yao Primorose Hall Mbezi Beach jijini Dar.
Bwana harusi na wapambe wake wakijiandaa kuingia kwenye kanisani
Bwn. harusi Kelvin Rugano na Sandra Karumberia wakimeremeta leo Jumamosi May 20, 2017 wamefunga pingu za maisha katika kanisa la Evangelistic Assembly of God Temeke jijini Dar.
 Leo Jumamosi May 20, 2017 Bwn. harusi Kelvin Rugano na Sandra Karumberia wamefunga pingu za maisha katika kanisa la Evangelistic Assembly of God Temeke 
 Ndugu, jamaa na marafiki wakihsuhudia Bwn. harusi Kelvin Rugano na Sandra Karumberia
 Harausi ikiendelea
 Wadau waliohudhuria ndoa ya Bwn. harusi Kelvin Rugano na Sandra Karumberia wakipata ukodak wa upendeleo
 Bwn. harusi Kelvin Rugano na Sandra Karumberia wakiwa kanisani mapemaleo jijini Dar

No comments: