ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 12, 2017

MAMA JANETH MAGUFULI AMKARIBISHA MAMA SIZAKELE ZUMA OFISINI KWAKE DAR ES SALAAM

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa ameongozana na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, wakati  wakielekea kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na  kusaidia wazee walemavu na wale walioathirika na ugonjwa wa ukoma jijini Dar es salaam siku ya Alhamisi. Mama Zuma alikuwa ameongozana na mumewe aliyekuwa katika ziara ya kikazi nchini.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma,  wakiwa kwenye mazungumzo na wasaidizi wao kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akifurahia jambo na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma,  alipomkaribisha kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia)  na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma,  wakipata picha ya kumbukumbu alipomkaribisha kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia)  na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma,  wakipata picha ya kumbukumbu na wasaidizi wao alipomkaribisha kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii
  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia)  akimsindikiza  Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, alipomkaribisha kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii
  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia)  akipeana mikono na  Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, alipomkaribisha kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii
Kikundi cha matarumbeta cha Usambara kikiwatumbuiza Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) na  Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma alipomkaribisha mgeni wake huyo kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii.

PICHA NA IKULU

No comments: