Sehemu ya viwanja hivyo vinavyoonekana nyuma ya Kiwanda cha Saruji cha Rhino kilichopo eneo hilo la Kisemvule.
Kijana anayesimamia viwanja hivyo akionesha mipaka.
Mmoja wa wafanyabiashara alikiangalia viwanja hivyo kwa ajili ya kuvinunua.
VIWANJA VINAUZWA VIMEKWISHA PIMWA UKUBWA WAKE NI 15X15 BEI NI SHILINGI MILIONI 2 NA NUSU NA VYENYE UKUBWA WA 30X30 NI SH. MILIONI 5 VIPO KIJIJI CHA KISEMVULE KATA YA VIKINDU WILAYA YA MKURANGA MKOANI PWANI JIRANI NA KIWANDA CHA SARUJI CHA RHINO BARABARA KUU YA KWENDA MIKOA YA KUSINI NA VIPO KATIKA MIUNDOMBINU YA BARABARA, MAJI NA UMEME, ANAYEVIHITAJI ANAWEZA KUWASILIANA MOJA KWA MOJA NA MUHUSIKA KWA NAMBA 0756430981.
No comments:
Post a Comment