Advertisements

Saturday, May 20, 2017

MAMA MITIINDO KUNOGESHA STARA FASHION WEEK 2017 KESHO JUMAPIL

Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin kunogesha Stara fashion show jumapili hii katika ukumbi wa city garden gerezani dar Es salaam Tanzania
Asya yupo Tanzania kwa ajili ya kushiriki Stara fashion week tanzania iliyoandaliwa Na ........... kutakuwa Na designers wengine pia watakaoshiriki jumamosi kutakua Na mauzo Na jumapili ni onyesho kabambe la mavazi kuanzia saa 4asubuhi kwa kiingilio cha 20,000 kwa mtu mmoja ni pamoja Na Chakula cha mchana ni kwa wanawake tu .

No comments: