Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile ameteuliwa na Umoja wa Afrika (AU)
Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile ameteuliwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa mmoja wa wasimamizi wa uchaguzi nchini Algeria. Algeria inafanya uchaguzi wa wabunge leo tarehe 4 Mei 2017.
No comments:
Post a Comment